Wayawaya – Yusuf Habih [LYRICS]

1

[Intro]

Kokoriko Kokoriko ooh, Kokoriko Yusuf Habih

Kokoriko Kokoriko ooh, Doctor Eddie!

{Verse One}

Ijapo nimetulia, nimeumia – nimeficha hisia,

Roho sijaridhia wanichunia nimejawa lawama.

Hali nakujulia, nakupigia – gumzo nasikia,

Kuwa ni mraia wamchumbia umenipa jereha.

Yule wako wa pembeni, mwenye mapeni amekutia pete

Mie wako usukani, mwenye mapenzi, kanipiga mateke

[Pre-Chorus]

{Nimehama Nairobi, mwenzio nipo Mikindani mie

Kwa uchungu wa moyoni, nimelala viwanjani} X 2

[Chorus]

Unawayawaya aah, mapenzi yako ni kamari

Unawayawaya aah, mapenzi yako tanari

Ulosema ijumaa ijumaa si ya leo, sawia kibendera – unawayawaya

Ulosema ijumaa ijumaa si ya leo, sawia kibendera – unawayawaya

Mwaka mzima umewaya, we unawaya, aaaah…

{Verse Two}

We yalaiti uwe sawa tuagane usalama mmh

Na us’take radhi, ooh yahaya

Mithili ya, jisinia, mtima nilikufunulia – yaya

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

Ooh anana nana nah, ooh nana aah

Na ukanikaidi na uloniahidi balaa

Na ukanikatili iih ooh Dada’a

[Pre-Chorus]

{Nimehama Nairobi, mwenzio nipo Mikindani mie

Kwa uchungu wa moyoni, nimelala viwanjani} X 2

[Chorus]

Unawayawaya aah, mapenzi yako ni kamari

Unawayawaya aah, mapenzi yako tanari

Ulosema ijumaa ijumaa si ya leo, sawia kibendera – unawayawaya

Ulosema ijumaa ijumaa si ya leo, sawia kibendera – unawayawaya

Mwaka mzima umewaya, we unawaya, aaaah…

[Bridge]

Kokoriko Kokoriko aaah, ooh yahaya

Kokoriko Yusuf Habih Kokoriko ooh yahaya

Eh we unawaya, we unawaya! Aaah!

[Chorus]

Unawayawaya aah, mapenzi yako ni kamari

Unawayawaya aah, mapenzi yako tanari

Ulosema ijumaa ijumaa si ya leo, sawia kibendera – unawayawaya

Ulosema ijumaa ijumaa si ya leo, sawia kibendera – unawayawaya

Mwaka mzima umewaya, we unawaya, aaaah

Comments are closed.