Wacha Ikae by Linda [LYRICS]

0

[Verse One]
Maumivu ya mwili, raha zako ajili,
Ila bado hukiri, tabia zako za siri.
Na weka weka nakili, si ya kwangu asili
Ila bado hukiri, tabia zako za siri

{Pre-Chorus}
Teta teta siko better
Pressure pressure siko beta
Tesa tesa siko beta oh

{Chorus}
Wacha ikae! wacha ikae wacha ikae!
Sema bye bye! sema bye bye sema bye bye!
See you baadaye! baadaye
Tafuta mi anipendaye
Sitaki tena x7
Siwezi tena x7
Sina haja tena x7
Ikae! Ikae! Ikae! taonana baadaye!!

[Verse Two]
Msichana mzuri ni mimi,
Yule wa kuamini – ka ka
Sina mwanamume rafiki la la
wa kunipapasa pa pa pa
ila bado hukiri tabia zako za siri

You May Like :   Yung Verbal Features Music Heavy Weights Dimpo Williams, Tsean and Daev On New Banger ‘Rotation’

{Pre-Chorus}
Teta teta siko better
Pressure pressure siko beta
Tesa tesa siko beta oh

{Chorus}
Wacha ikae! wacha ikae wacha ikae!
Sema bye bye! sema bye bye sema bye bye!
See you baadaye! baadaye
Tafuta mi anipendaye
Sitaki tena x7
Siwezi tena x7
Sina haja tena x7
Ikae! Ikae! Ikae! taonana baadaye

Wacha ikae! wacha ikae wacha ikae!
Sema bye bye! sema bye bye sema bye bye!
See you baadaye! baadaye
Tafuta mi anipendaye
Sitaki tena x7
Siwezi tena x7
Sina haja tena x7
Ikae! Ikae! Ikae! taonana baadaye

{Bridge}
Nilikupenda na roho yangu yote
Nikakupa mwili wote
Nilidhani kuwa tuko wote
Wacha ikae