Wabe – Gabu and Frasha featuring DJ Joe Mfalme [LYRICS]

1

{INTRO}

Imetoka sawa…2…5…4!!

…P-Unit…

 

{VERSE ONE}

(Gabu)

Mi designer oriji kutoka China

Nimeshika wasupa wengi shinda gyna

Sina saa ya kuonyesha kitambi sauna

Mapinji kwa keja tuna manaira

Aterere wekee gwere

Sina saa ya kuonyesha kitambi sauna

Aterere wekee gwere

Sina saa ya kuonyesha kitambi sauna

 

{HOOK} DJ Joe Mfalme

GABU

{VERSE TWO}

(Frasha)

Ule kwenye club basi sema wabe

Nimekwama kwenye game kama Mugabe

Pengine nitapiga tu miaka ruabe

Mgenge halisi naishi tu kibabe

Min a tudem naita baibe

Iko nini napigana daily

Ita Buga basi tukamate dede

 

{HOOK} DJ Joe Mfalme

frasha

{VERSE THREE}

(Gabu)

Ananimurder murder baibe

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

Ananitaka taka baibe

Ananifuata fuata baibe

Ananringa anataka nimfuate x 2

(Frasha)

Pop fathe

Waria ama legion Mario

Hakuna noma hapa bana kufurahia

Dandia

Akikataa kuingia tafuta beshte yake pia dandia

(Gabu)

Buganya mi nawakatia

Wasupa kwa corner mi nawachapia

Na genge bado mi nawapatia

I am so dirunk na mluhya Busia

 

{HOOK} DJ Joe Mfalme

dj joe mfalme

1 COMMENT

Comments are closed.