Uzuri Wako – Serah Sarah [LYRICS]

0

{Intro}
Haiya weh!
Uh….uh…
Serah sarah… uu….
yeah yeah.yeah oh yeah

[Verse One]
Shawahi kuambiwa vile unavyokaa
Uliumbwa ukaumbika baibe unashangaza
(my perfect man unanitosha)
kicheko mdomoni
ukiniangalia
hasira hupotea
mwili husisimka
ngozi yako nyeusi ya ng’a
kama shujaa anayekuja nikomboa
(my perfect man unanitosha)

{Chorus}
wacha ni imbe
uzuri wako
richa n’nene
uzuri wako
wacha ni imbe iye iye…
oooh….oooh… oooh….oooh

[Verse Two]
katika herufi zote sijui nikuweke wapi
kwanzia numba moja hadi kumi you’re my number one my number one, you’re my number
one oh oh oooh….
nimekuwa Mombasa nikenda Nairobi
Dar es Salaama na pia Dubai
mzuri kama wewe sijawahi ona
you’re my number one, my number one, you’re my number one

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

{Chorus}
wacha ni imbe
uzuri wako
richa n’nene
uzuri wako
wacha ni imbe iye iye…
oooh….oooh… oooh….oooh x2

{Bridge}
wacha ni imbe richa n’nene wacha ni imbe