Usiku na Mchana by Pryshon [LRYICS]

0

[Verse One]
Nikikuona,
Na yule mwingine,
Moyo wangu wazama,
Nabaki kushika tama,
Ninapowaza,
Tulivyopendana,
Machozi yanijaa sana,
Cha kufanya mi sina,
Milima na mabonde nimepanda,
Nikikuomba msamaha,
Sikutaraji utaniacha,
Najuta nilivyokutenda,

{Pre-chorus}
Penzi letu laana,
Twashinda tukizozana,
Ni kweli mnapendana,
Lakini bado nakuwaza

{Hook}
Usiku na mchana, mchana, mchana, mchana (aaahhh aaahhh) x2

[Verse Two]
Nyumbani kwetu wote wakuulizia (wakuulizia),
Nashindwa cha kusema, nanyamazia (nanyamazia),
Makosa yangu mimi (mimi),
Watanisema vipi (vipi),
Ulivyonidhamini (mimi),
Ulinipenda kweli,
Moyo wako kanigeuka,
Penzi lako kamalizika,
Nafasi zote ulizonipa,
Mimi zote nikapuuza,
Ohhh, najuta

{Pre-chorus}
Penzi letu laana,
Twashinda tukizozana,
Ni kweli mnapendana,
Lakini bado nakuwaza

You May Like :   Singer Ivlyn Mutua Unveils ‘12 Beats Of Christmas’ Album

{Hook}
Usiku na mchana, mchana, mchana, mchana (aaahh aaahhh) x2

{Bridge}
Bado nakuwaza kila siku baby,
Bado nakutaka kila time honey,
Ingali nakupenda na si utani,
Swali ni kama utanikubali,
Bado nakuwaza kila siku baby,
Bado nakutaka kila time honey,
Ingali nakupenda na si utani,
Swali ni kama utanikubali,
Yeah yeah, utanikubali,
(Yeahhhh) x6

{Hook}
Usiku na mchana, mchana, mchana, mchana (aaahh aaahhh) x2