Ushawahi (Hela Hela Hey!) – Linda [LYRICS]

0

[Verse One]
Nampenda chali flani,
Yuatesa si utani,
Lakini gumzo mitaani,
Ana mambo chini ya maji.
Sini wasiwasi,
Najua anavyonijali,
Sitouliza mi maswali,
Nina yote nahitaji.

{Pre-chorus}
Hela hela hey!
Hela hela hela hey! ( x 4)

{Chorus}
Ushawahi, Ushawahi tendewa jinsi hujawahi?
Na ushawahi tendwa jinsi hujawahi?
Dada oh dada oh! Oh!      
Wacha wacha wacha wacha
Hizo ndio sababu zangu!

[Verse Two]
Sikupigi vita,
We ni kama wangu sista,
Lakini huyo wako mista,
Atakuumiza skiza!
Najua anakulisha,
Bila shaka yuakuvisha,
Lakini amekosa heshma (heshma)
Hayo ni mapenzi ya!

{Pre-chorus}
Hela hela hey
Hela hela hela hey x 4

{Chorus}
Ushawahi Ushawahi tendewa jinsi hujawahi
Na ushawahi tendwa jinsi hujawahi
Dada oh dada oh oh          
Wacha wacha wacha wacha
Hizi ndio sababu zing x2

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'