Swadakta – Guardian Angel [LYRICS]

0

[Chorus]
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa

{Verse One}
Swadakta nawe,
Safi nawe,
wangu mtima unabubujika nawe,
natamani tu kukamata selfie nipost ili watu wajue niko sambamba nawe
Swadakta nawe,
Safi nawe,
wangu mtima unabubujika nawe,
natamani tu kukamata selfie nipost ili watu wajue niko sambamba nawe
Maombi uliyasikia
Milango ukanifungulia
Izo ma blessing nikazipokea eeh
niko sawa Sawa
Maombi uliyasikia
Milango ukanifungulia
Izo ma blessing nikazipokea eeh
niko sawa Sawa

[Chorus ]
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa

{Verse Two}
Niko swadakta kwako tu ndio mi nadata ,
kile naitisha ni napata enemies unawascatter,
kwako tam kama kashata niko sawa
Niko swadakta kwako tu ndio mi nadata ,
kile naitisha ni napata enemies unawascatter,
kwako tam kama kashata niko sawa
Maombi uliyasikia milango ukanifungulia izo ma blessing nikazipokea
Niko sawa
Maombi uliyasikia milango ukanifungulia izo ma blessing nikazipokea
Niko sawasawa

You May Like :   Band BeCa Drop Their First Hit 'Kionjo' Under Naiboi Worldwide

[Chorus]
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa

[Bridge]
Niko swadakta walonicheki kwenya street wanajua, ooohh wanajua,
niko swadakta walonicheki kwenye slum wanajua, ohhhh wanajua,
Niko swadakta walonichi kwenye cell wana wanashangaa,
niko swadakta nilowaomba pa kulala wanajua kwamba unainua,
kama uliniinua, nao utawainua wawe swadakta wawe Sawa Sawa

{Chorus}
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa