Story Yangu – Denno and Bahati [LYRICS]

0

[Intro]EMB RECORDS

Mmmmhhhh yeah

hey yeah yeah

ooh yeah

story yangu
[Dennoh]

Niskize mtoto wa mama,

Hivi unavyoniona aih,

Mimi Denno,

Nimetoka na mbali sana,

Eeeeih Mtoto wa mama,

Hivi unavyoniona aih,

Mimi Denno,

Nimetoka na mbali sana,

Hey hey,

Kangemi nikazaliwa,

Hata Mwangaza sikuwai kuja kuona,

Eeeih, Hey hey,

Kangemi nikazaliwa,

Hata Mwangaza sikuwai kuja kuona,

IMG_2858-1.jpg

[Chorus]

Story Yangu (story yangu)

Ni story yangu (Ni story yangu)

Hebu rafiki nipe sikio (nipe)

Me nataka simulia X2
[Bahati]

Najua uchungu,

Maswali mengi kwako moyoni,

Aih,

Kwanini Mola iwe hivi,

Kwanini Mola iwe mimi,

Najua uchungu,

Na mimi haunioni,

Niko na rasta lakini mboni,

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

Imefungika wapewa story,

Ninety nine,

Mama alipoondoka,

Aih,

Skiza nikupe story,

Kumbuka Ghetto ni ngori,

Ninety nine,

Baba akanitoka,

Aih,

Zahama ikawa Machozi,

Mchanga na sijiwezi,

Maisha Kung’ang’ana nkaona siwezi,

Ndoto zangu nikatupa mbali,

Ila leo niko mahali,

Na maisha Kung’ang’ana nkaona siwezi,

Kumbe Mungu aliona mbali,

Hivyo mziki amenipa mimi,
Story Yangu (story yangu)

Ni story yangu (Ni story yangu)

Hebu rafiki nipe sikio

Me nataka simulia X2
[Both]

Nasema Mungu ni Mwema,

Story zimebadilika,

Leo hii,

Tunaimba wanabarikiwa, X2
Story Yangu (story yangu)

Ni story yangu (Ni story yangu)

Hebu rafiki nipe sikio

Me nataka simulia X4
Story yangu