Sisi Ndio Kusema – King Kaka, Avril and Femi One [LYRICS]

2

[King Kaka…Intro] Yeah, haa,

Kaka Empire,

Femi One, Avril,

What. Ok, Haya,
[Chorus]

Haujaskia washasema (washasema) X2,

So, weh unasema? (unasema?)

Weh unasema? (unasema?)

Sisi ndio kusema (ndio kusema) X2

Washasema, ilisemwa,

Tutasema, Itasemwa,

Sisi, sisi, sisi ndio kusema
[Femi One]

Wale wasanii legit, ndio tunalegalize,

Sisi ndio Kusema, tunawapa hits na ma-rhymes,

Tungekuwa Cop, tungejipata wanatoa bribe,

Tuna-run the show, Number ni 254,

7205, and you are to die for,

Independent mithili ya July 4,

Ama Dec one two,

Kaka verse three, Mic wakicheck one two,

Like a walk in the bank tukicheka tu,

 
[Chorus]

Haujaskia washasema (washasema) X2,

So, weh unasema? (unasema?)

Weh unasema? (unasema?)

Sisi ndio kusema (ndio kusema) X2

Washasema, ilisemwa,

Tutasema, Itasemwa,

Sisi, sisi, sisi ndio kusema
[Avril]

Nilisikia wakisema me malkia,

So who am I to say that I ain’t,

On the Mic sounding oh so glorious,

Walichapa mdomo now wame-shhhh,

Calling me Nyambura,

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

Like you know me,

Coz you read about me,

Boss kaa mbali na mimi,

Coz hauniwezi mimi,

Kaka, Wacha waseme.
[Chorus]

Haujaskia washasema (washasema) X2,

So, weh unasema? (unasema?)

Weh unasema? (unasema?)

Sisi ndio kusema (ndio kusema) X2

Washasema, ilisemwa,

Tutasema, Itasemwa,

Sisi, sisi, sisi ndio kusema
[King Kaka]

Bado Camp yetu ni Mulla,

Uliza kina Tiri,

Na tuna-run this town,

Manze ka Jay, Kanye na Riri (alright),

Mr. Focus 24/7,

Uliza walimu wote wa P.E,

Miaka yangu 27,

Na naishi ndani ya TV,

Unataka pretty lies,

Au nikupe ugly truth,

Saa hizo mistari ni fly,

Na nanaishi ndani booth,

Keep jumping ka masai (ero),

Hata coin ina pande tatu,

Bado Juu ka kofia,

Mko chini ka kamba ya kiatu
[Chorus X2]

Haujaskia washasema (washasema) X2,

So, weh unasema? (unasema?)

Weh unasema? (unasema?)

Sisi ndio kusema (ndio kusema) X2

Washasema, ilisemwa,

Tutasema, Itasemwa,

Sisi, sisi, sisi ndio kusema