Sababu ni Wewe – Wasojali Band [LYRICS]

0

[Chorus]

Naangaika usiku kucha,

sababu ni wewe,

hata wako walio achwa,

sababu ni wewe.

[Verse 1]

Alfajiri niamkapo,

Me natoka kukutafuta we.

Popote niendapo,

Me natoka kukutafuta we…

Iwe kwa heri ama kwa shari,

Me natoka kukutafuta we,

Si kivuli si jua kali me natoka kukutafuta we,

Waiyoo oo oo ooh niurumie mimi hee waiyoo oo oooh niurumie mimi yee.

[Chorus]

Naangaika usiku kucha,

sababu ni wewe,

hata wako walio achwa,

sababu ni wewe.

12138371_871750269604362_3153988370114010617_o

[Verse 2]

Akika me nilijipa moyo nitakuwa na wewe,

Ukaniaidi utaishi na mimi mileleee hee!!

Vipi leo ukatae unikane mbele ya mupenzi,

Vipi leo ukatae unikane mbele ya mupenziiii.

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

Naungulika moyoni mwangu kisa ni wewe,

Hali yangu ime dhohofika unioni mwenziooo oo ooh.

[Chorus]

Naangaika usiku kucha,

sababu ni wewe,

hata wako walio achwa,

sababu ni wewe.

[Outroduction]

Kweli pesa pesa sabuni ya roho,

Ooh pesa pesa sabuni ya rooho,

Kipenzi pesa pesa sabuni ya rooho,

Njoo pesa pesa sabuni ya rooho.