Rangi ya Bahari – Gilad Millo featuring Gachago [LYRICS]

0

Kila kitu inanikumbusha kuhusu wewe,Kila siku nakumbuka kuhusu wewe,

Nyota inamereta, nikifikiria kuhusu wewe,

Macho yako, yanameremeta, nikifikiria kuhusu wewe,
[Chorus]

And I remember Rangi ya bahari,

Sauti ya mawimbi,

Twashikana mkono,

Tukitazama mwezi

Niamini mimi, there,s no way I forget,

Nakumbuka wewe, every day no regrets,

Niamini mimi, there’s no way I forget,

Nakukumbuka wewe,

When I’m prayin’, you are there, when I’m prayin you’re there
Nyota inameremeta, nikifikiria kuhusu wewe,

IMG_2931.PNG
Macho yako, yanameremeta, nikifikiria kuhusu wewe
[Chorus]

And I remember Rangi ya bahari,

Sauti ya mawimbi,

Twashikana mkono,

Tukitazama mwezi

Niamini mimi, there,s no way I forget,

Nakumbuka wewe, every day no regrets,

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

Niamini mimi, there’s no way I forget,

Nakukumbuka wewe,

When I’m prayin’, you are there, when I’m prayin you’re there