Penzi Tamu – Linda [LYRICS]

0

Verse 1
Nikikushow, Nikikushow sahii
Je bado, je bado utanipenda?
Nikikushow vile ninafeel
Je bado utaniendeleza?

Chorus
Wanipa, wanipa mapenzi tamu (penzi tamu)
Wanipa, wanipa mapenzi tamu
Yanazidi.

Pre-chorus
Kuna upepo tulivu
Na sijawahi hisi hivi tena
Kuna upepo tulivu na ni weee
Kuna upepo tulivu
Upepo wenye mapenzi moto
Wanipa mi kitu kitamu

Chorus
Wanipaaa mapenzi tamu
Ndomaana, nakupenda
Wanipa, wanipa mapenzi tamu
Saa zingine hata siamini

Verse 2
Nitafanya chochote
Nitaenda popote
Chochote unachotaka
Usiogope kusema

Pre-chorus
Kuna upepo tulivu
Na sijawahi hisi hivi tena
Kuna upepo tulivu na ni weee
Kuna upepo tulivu
Upepo wenye mapenzi moto
Wanipa mi kitu kitamu

Chorus
Wanipaaa mapenzi tamu
Ndomaana, nakupenda
Wanipa, wanipa mapenzi tamu
Yanazidi

Verse 3
Una roho safi,
Hata siamini
Kila mchana ni Christmas
Usiku mwaka mpya

Je bado, je bado utanipenda
Penzi weee

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'