Papa by King Kaka featuring Elani [LYRICS]

0

{Brian}
Huu wimbo ni wako baba
Natarajia uko salama
Nakumbuka ulivyo kazana
Na sura yako baba nitakumbuka
Oh oh oh.

{Verse One-King Kaka}
Okay
Siwezi wadanganya
Me sikua poa na my father
Nilijionea kwa macho zangu aki-disagree na Mother
Kifaranga itakua jogoo
Huonekana yai ikitagwa
I was a kid in ’93
Naikumbuka kama jana
And that’s why (Rest his soul)
I never talk about him
Na nilipromise mom next day
Nitaenda kumwona hosi
Deep within I was bitter
Jua kadhaa zikapita
Machozi kwa giza but nasmile in disguise
Ati nimwache apone kwanza
Ndio apate nguvu ya ku-apologize
Hadi alitumana
I always blame myself for that
Fursa tu
Nikakataa kusema goodbye to dad
Hio kitu huniuma hadi wa leo
Wimbi zangu zimepotea kwa uteo

{Brian}
Huu wimbo ni wako baba
Natarajia uko salama
Nakumbuka ulivyo kazana,
Na sura yako baba nitakumbuka,
Oh oh oh.

[Chorus-Elani]
Wewe (Papa papa papa) x4

{Verse Two-King Kaka}
Hata nikisema asali mara ngapi
Utamu haitafika kwa mdomo
Ndio kitu niligundua vile tu
Nyi mlikuwa wadogo
Saa hii me ni father of two
Before mzaliwe mlikuwako news
Naomba baadae mtanielewa
Kwa saa hii me nitawalea
Mnatoa meno lini
I wish mngekuja na manual
Plus narespect mama zenu
Vile situation walihandle
Tumedisagree
Tumego for days hatujaongea
Hata maji sakafuni
After day inapotea
Nawish singeido
But nikiwatazama it’s so good
Na mimi sio perfect
Hakuna moment naregret
Busy kwa stage na Onset
Ndio muwe na chakula kwa plate
Nawapenda
Niko njiani
Kwangu everyday ni Father’s day

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

{Bridge-Elani}
Huu wimbo ni wako baba
Natarajia uko salama
Nakumbuka ulivyo kazana
Na sura yako baba nitakumbuka
Oh oh oh.

[Chorus-Elani]
Wewe (Papa papa papa) x4

{Bryan}
Huu wimbo ni wako baba,
Natarajia uko salama,
Nakumbuka ulivyo kazana,
Na sura yako baba nitakumbuka,
Oh oh oh.
(Papa papa papa) x4

{Elani}
Huu wimbo ni wako baba,
Natarajia uko salama,
Nakumbuka ulivyo kazana,
Na sura yako baba nitakumbuka,
Oh oh oh.

Wewe (Papa papa papa) x4