Ni Yeye by Wayinke [LYRICS]

0

[INTRO]
(ooohhh yeaah yea oyeahh eh uyeyeye yeh)

[VERSE 1]
Aii! Walisema mapenzi kama maji ya moto, (ya moto)
Yakisha kutenda yanaishiwa na joto,
Eti mapenzi sasa ni ndoto, Ukidekezwa basi utoto,

[HOOK]
(Siwezi ogopa mapenzi si hatari kwa moyo, oh
Hisia sitazivisha tahadhari za uchoyo, oh)*2

[CHORUS]
Nasema niyeye eh niyeye pekee, Yuanipa penzi yaani moyo akautuliza,
Naganda kwake yeye ni yeye milele, Asiende mbali nami penzi likaniumiza,
Ah aha

[VERSE 2]
Walidakia mwanzoni wenye chuki na choyo, oh,
Wapinga vikali nisalie kwa zero, oh
Waliniambia yanaumiza vinoma, eh, Nikapuuzia niko wima imara naye,
Naomba anipe-nipe kidogo, oh, Asiharakishe afike ukingo, oh, Anigandishe kama ulimbo, oh

[HOOK]
(Siwezi ogopa mapenzi si hatari kwa moyo, oh
Hisia sitazivisha tahadhari za uchoyo, oh)*2

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

[CHORUS]
Nasema niyeye eh niyeye pekee, Yuanipa penzi yaani moyo akautuliza,
Naganda kwake yeye ni yeye milele, Asiende mbali nami penzi likaniumiza,
Ah aha

[BRIDGE]
(Ni yeye eeh ehh, Ni yeye yeye eeh ehh)*2
Roho yangu kwake ina imani, iih, Niwe karibu naye nina amani, iih
Anifute chozi la huruni, iih, Anisahaulishe ya zamani, iih
(Asibadili yake mienendo, ooh, Abaki kama siku za mwanzo ooh)*2