Nakuahidi by Gilad Millo and Dela [LYRICS]

0

[Gilad]
Naenda nitarudi
Imenibidi Sina budi
Riziki kutafuta
Usife moyo
Jipe moyo
I promise
Mochozi, machozi nitafuta
Nieleze unachotaka
Nieleze I’ll be listening
Usilie
Wakati unataka
Niambie I’ll be listening

[Dela]
Niahidi
Tutaonana tena x2
Niahidi
Tutaonana tena x2
Niahidi
Tutaonana tens (Nakuahidi tutaonana tena)x2
Niahidi tutaonana (I promise you)

I’m not going anywhere
Nitangoja
Kumbuka sio hoja, ni na we
Kukufa na kupona, my bebe
Nitavumilia

Niahidi
Tutaonana tena (Nakuahidi, tutaonana tena?)x4

image

[Gilad]
Nieleze unachohisi (Usiende iyeiye)
Nieleze I’ll be listening (Usiende iyeiye)
Usilie wakati unataka (Sitalia iyeiye)

[Dela]
Sina budi ila kukuaga kwaheri
Ninakutakia kila la heri
Oh oh
Naomba mola akulinde
Akurejeshe salama

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

[Both]
Nakuahidi
Tutaonana tena (Niahidi tutaonana tena)x3
Nakuahidi
Tutaonana tens (Niambie I’ll be listening)
Niahidi
Tutaonana tena (Baby) x2

[Gilad]
Nakuahidi
Niambie I’ll be listening x2
I promise
Tutaonana
I promise you
Tutaonana.