Maua by The Band BeCa [LYRICS]

0

{Chorus}
Kama maua nimekuchagua
Penzi nalo siwezikupima
Nilishakujua nikakupenda milele
Ooh ooh oooh oooh ×2

[Verse One]
Kama ni mapenzi yote,alikupa weweKufa nayo alikufa, Ili wewe uamini anakupenda wewe milele na mileleKama ni mapenzi yote,alikupa wewe Kufa nayo alikufaIli wewe uamini anakupenda wewe

{Pre-Chorus}
Ameniweza roho
Ye kanivisha moto
Na mimi sitaki ondoka

{Chorus}
Kama maua nimekuchagua
Penzi nalo siwezikupima
Nilishakujua nikakupenda milele
Ooh ooh oooh oooh ×2

[Verse Two]
Love of my life, Kanipa uhai nikupende, nikujue zaidi

{Pre-Chorus}
Ameniweza roho
Ye kanivisha moto
Na mimi sitaki ondoka

{Chorus}
Kama maua nimekuchagua
Penzi nalo siwezikupima
Nilishakujua nikakupenda milele
Ooh ooh oooh oooh ×2

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

{Bridge}
Usiogope we,
Yuko na wewe milele ×3
Ooohh Oohh Ooohh