Malaika – Nyashinski [LYRICS]

5

[Verse One]
Uko na tabia za kupendeza roho
Tabasamu ya kupapasa macho
Sauti yako nikiiskia pia natulia yanipunguzia hasira nazo
Urembo wako ulininasa roho siku ya kwanza kukuona kwa macho
Sa moyoni umekwamia siwezi  kutania njoo unipunguzie mawazo
And I feel you in my air when I breath
I see you in my dreams when I sleep
You are the one I have been waiting for all my life
Deep down my heart I believe nakufeel unanifeel hii ni real
The one I have been waiting for my life

{Chorus}
Uko sawa na wote malaika na mabawa yao
Wote wanakuiga we ndo mama yao
Ni wewe nachagua sisemi nao , sisemi
Oh baby
Uko sawa na wote malaika na mabawa yao
Wote wanakuiga we ndo mama yao
Wewe nachagua sisemi oh sisemi oh—sisemi
Uuuuh oh I love you babe
Oh yeeah yeah yeah iih yeah

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

[Verse Two]
And even though I’ve never been here before somehow
I know that this is how it feels to fall in love
Baby you know I love you
I place no one above you
I need you in my life forever and ever you will always have my heart
We were meant to be together me and you
Oh me and you…yeah

{Chorus}
Uko sawa na wote malaika na mabawa yao
Wote wanakuiga we ndo mama yao
Ni wewe nachagua sisemi nao , sisemi
Oh baby
Uko sawa na wote malaika na mabawa yao
Wote wanakuiga we ndo mama yao
Wewe nachagua sisemi oh sisemi oh—sisemi

5 COMMENTS

Comments are closed.