Kistaarabu – Otile Brown [LYRICS]

0

[Verse One]
Jinsi anavyo cheza nikama aninitega (no way)
Macho yake yenye mvuto nikama ananiita (no way)
Huo mdomo anavyo ung’ata pumzi inaniisha (no way)
Kiuno nazi nazi anavyo katika (no way)
Now she started blowing me kisses (Aaah)
Kaja Mwenyewe kasema ” Hey Mr. would you hold my hands naomba nicheze na wewe.”

{Chorus}
Basi simama tucheze  (kistaarabu x2)
Nishike nikushike (Kistaarabu x2)
Katu usiniache ( Kistaarabu x2)

[Verse Two]
Asema “Nina mpango na wewe
Wala Usiwe na kiwewe
Hapa nkaja mwenyewe
Ila naomba niwe na wewe
Usiku kama huu nakuhitaji
Sijui ukaja na Nani Ila naomba uwe nami ”
Uuh kumbe toto la kigogo , kigogo, Kigogo
Up town ila chapo mandondo, mandondo,mandondo
Kaanza kurukaruka tu kibobo, kibobo,kibobo
Nikasema ” hey hey am a classic man
Niite mr gantleman
Mbona husle man
Tusije pakana jasho man x2

{Chorus}
Basi simama tucheze (Kistaarabu x2)
Nishike nikushike (Kistaarabu x2)
Katu usiniache ( Kistaarabu x2)

[Verse Two]
Mmh mmh marashi kwenye nyele zako
Harufu ya ngozi yako
Ina nipaga manjonjo
Nimejikoki sio kidogo x 2

{Chorus Three}
Basi simama tucheze (kistaarabu x2)
Nishike nikushike (Kistaarabu x2)
Katu usiniache ( Kistaarabu x2)