Helena – Third Hand Music [LYRICS]

0

{Intro}

Yeah…Yeah…Yeaaaiiioooh

Parampara!

{Verse 1}

Chaguo la penzi ni moyo

Macho msaidizi wake

Ningekuandikia barua pepe

Ama nikununulie maua pekee

Kukuambia vile mimi nakupenda

 

Lakini wimbo

Nitakuandikia wimbo

Lakini wimbo

Nitaimba vile mimi nahisi

 

{Chorus}

Helena helena

‘ata kama sina mali

Nakupenda Helena

Helena Helena

‘ata kama sina pesa

Nakupenda Helena

Helenaaa haaa x2

 

{Verse 2}

Kisa na maana

We kuenda niambie

Kama ni dhahabu

Kwa penzi nikupatie

Ungesema utakacho

Ningevuka mito kwako wewe tu

Helenaaa haaa

 

Lakini wimbo

Nitakuandikia wimbo

Lakini wimbo

Nitaimba vile mimi nahisi

 

{Chorus}

Helena helena

‘ata kama sina mali

Nakupenda Helena

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

Helena Helena

‘ata kama sina pesa

Nakupenda Helena

Helenaaa haaa x2

 

{Outro}

Labda mtondo goo

Juu leo haupo x2

Labda mtondo goo