Baby Moto by Tuma vs Asali [LYRICS]

0
{Verse One}

Kila dame kwenye club anakutamani,
Unavyosonga, unvayocheza, watuchanganya,
Ndakhuyanza (I love you), nakufeel, nimekunoki,
Unawasha moto kila unapocheza.
Cheza nami, Khina ne nase (dance with me)
Cheza nami, Khukhine Fuesi (let’s dance together)
I’m feelin’ your fire tonight…

[Chorus]

Baby moto!
Unapo katika katika,
Baby moto eeeh!
Baby moto!
Okhina Bulayi (you dance so good)
Baby moto eeeh!

{Verse Two}

Unapocheza napoteza fahamu zangu,
Wanivutia wanipendeza wanichizisha,
Natamani mi na we tucheze ngoma,
Unawasha moto kali moyoni mwangu,
Cheza nami, Khina ne nase (dance with me)
Baby Cheza nami, Khukhine Fuesi (let’s dance together)
I’m feelin’ your fire tonight…

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'
[Chorus]

Baby moto!
Unapo katika katika,
Baby moto eeeh!
Baby moto!
Okhina Bulayi (you dance so good)
Baby moto eeeh! x2

[Bridge]

Leo ni leo,
Nimesubiri siku nyingi, utakaponi furahisha,
Leo ni leo,
Nishike usiogope, chini kwa chini tuziende,
Nikamate nigeuze, tuzungushe viuno,
Tuwache jasho itiririke, leo twacheza mpaka che,
Wakusema wacha waseme, Ndakhuyanza, (I love you)
Yayah, Khukhine Fuesi!

[Chorus]

Baby moto!
Unapo katika katika,
Baby moto eeeh!
Baby moto!
Okhina Bulayi (you dance so good)
Baby moto eeeh! x2