Acha Waseme by Otile Brown [LYRICS]

0

Kama riziki unatoa, basi ntakosa
Ila kama ni mola lazima ntapata×2

{Verse One}

Bwana Shetani muongo , muongo we!
Mbona umejawa na kinyongo ndugu we!×2
Bwana niambie x3 wapi nilipokuudhi naomba uniambie
Mana sio sawa kama we wanichukia , nia njema nlio nayo kwako ndo mafanikio Yangu , wakati mimi nakuombea mema , waniwazia mbaya ooh sio sawa
ooh so sawa

[Pre- chorus]

Ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu ×2

[Chorus]
Acha waseme , Acha waonge ×2

{Verse Two}

Wewe unanichukuia ata zaidi unavojipenda
Unafikiri nafikiri unavyofikiria mana nia zako sio njema
Chochote nachofanya unanielewa makosa
Lolote nachofanya unanihukumu vibaya
Wapi nilipokukosea ningependa unieleze
Wapi nilipokuudhi ningependa uniambie
Maana sio sawa kama wewe wanichukia , nia ooh njema nlio nayo kwako ndio mafanikio yangu
Wakati mimi nakuombea meme , waniwazia mabaya ooh so sawa

You May Like :   Singer AVM Releases New Single 'Ndi Maliyo'

[Pre Chorus]

Ooh dhamira yangu , ndo nguzo yangu
Ooh wema Wangu ndo nguzo yangu ×2

[Chorus]

Acha waseme , acha waongee×4