Songea by Tatu Abdallah [LYRICS]

0

 

{Verse One}

Yale maneno ya wahenga, nayakariri,

Ya kwamba kila shetani ana m’buyu wake na wewe ndio wangu,

Lugha za moyo zinanena, bila tafsiri

Tambua umepandisha kwa sana thamani ya hisia zangu……..

Ndiwe wangu yule wa juzi na jana,

Hadi leo umenibadilisha lafudhi,

Kwa mfano nkisema nakutamani nakutamani x2

Nakuhitaji Kama pigo la moyo,

Songa Karibu unitoe kasoro,

Ndoto za leo zitimie tomorrow

Mpenzi weee x2

[Chorus] 

Nipe penzi lako, milele tuandamane Milele tushikamane,

Mimi nawe tusiachane, x2

{Verse Two}

Heshima nakupa sawia, bila kipimo cha mapenzi,

Sitamani hayo makubwa usiyonipa,

Hatupangi anapanga Mwenyezi x2

Nakumbuka ile zawadi uliyonipa,

Moyoni nikakungoja Nikakuweka,

Sitachoka na popote ntakuita, mapenzi wangu x2

[Bridge]

Songea, Songea, Songea…x2

[Chorus]

Nipe penzi lako, milele tuandamane, 

Milele tushikamane,

Mimi nawe tusiachane, x2

tatu-1

{Verse Three}

Nakuhitaji Kama pigo la moyo,

Also Read :   Freshman Freestyle (Don't Even Try Me) by Raj [LYRICS]

Songa Karibu unitoe kasoro,

Ndoto za leo zitimie tomorrow

Mpenzi weee x2

Nakumbuka ile zawadi uliyonipa,

Moyoni nikakungoja Nikakuweka,

Sitachoka na popote ntakuita,

Mpenzi wangu.

 

[Bridge]

Songea, Songea, Songea…x2

[Chorus]

Nipe penzi lako, milele tuandamane, 

Milele tushikamane,

Mimi nawe tusiachane, x2