Pakate – Otile Brown [LYRICS]

0

{VERSE ONE}
Waniona nakuangalia na tayari ushajua kuwa naitaka ‘yo
Mimi ni mgeni huku na hata n’ikotoka,pia sijawai ona kama ‘yo
(hiyo ni mpya)
nacho kiuno chako,
unavyokizungusha roho yangu unairusha
unairusha, ehh
unairusha, ohh mama

maana kuvuavua na mvuvi
haya mambo yanahitaji ujuzi
haya ya maji marefu hawayawezi
njoo udensi na mtoto mjini
kuvuavua na mvuvi
haya mambo yanahitaji ujuzi
haya ya maji marefu hawayawezi
njoo udensi na mtoto wa mjini

Pakate

[CHORUS]
eti ukisonga nami ntasonga
hutaki niguse,nayashakoma
usiwe na wasiwasi ma
mimi nitafwata unavyofanya x2
mimi nataka nipakate siachi
pakate siachi mpaka jua lichomoze
ila sasa limetoka sitojua eeh x2

mimi na wewe,eh eh eh
mimi na wewe,eh eh eh

{VERSE TWO}
mimi nahisi kama kuna sababu tunakutana
mbona tunalingana
mambo mengi tunalingana nawe
basi taratibu usinikanyage
nguo yangu usiichane
nia yangu sio mbaya
ninachoomba ni nafasi nikujue..ooouh

maana kuvuavua na mvuvi
haya mambo yanahitaji ujuzi
haya ya maji marefu hawayawezi
njoo udensi na mtoto mjini
kuvuavua na mvuvi
haya mambo yanahitaji ujuzi
haya ya maji marefu hawayawezi
njoo udensi na mtoto wa mjini

Also Read :   Basi - Otile Brown [LYRICS]

[CHORUS]
eti ukisonga nami ntasonga
hutaki niguse,nayashakoma
usiwe na wasiwasi ma
mimi nitafwata unavyofanya x2
mimi nataka nipakate siachi
pakate siachi mpaka jua lichomoze
ila sasa limetoka sitojua eeh x2

mimi na wewe,eh eh eh
mimi na wewe,eh eh eh x2