Jasho Kwa Bash – Nebulazz [LYRICS]

0

{VERSE ONE}
Leo tunagonga side ya Zimmer,
Maboyz wa Ronga musikuje bila,
Mkuje na madem na mlete mzinga,
Ikiwezekana ish lazima (aaah)
Party ni party bora kuna makali,
We wanna stay happy bila kujali,
Kama Koffi tutapiga selfie,
Tuweke FB na pia IG,
Umefika 18?
Wapi ID,
Hakuna jicho pevu Mohamed Ali,
Madem wameng’ara come late leave early,
Dark skin light skin hatubagui,
Skinny pum pum hatukagui, x2

[CHORUS]
Jasho kwa bash
Huja leta dame
Huja leta tei
Una ongeza jasho kwa bash
Huja leta food
Na unataka room
Una ongeza jasho kwa bash
Chorus x2 

{VERSE TWO}
Tukigonga hizo glass,
High class low class tuko one class (ahhh)
Mambo ni mos mos E-sir na Brenda,
Ze don gaga boss Zambarurera,
Jam kwa loo maboyz wanaendesha,
Madem kwa kioo wanajirembesha,
Wapi lighter omos wasa kitu,
I’m so dirunk aah kushinda Gabu,
Bash imeshika hatuna Tabu
Madem kila Aina Kina Dhahabu x2


[CHORUS]
Jasho kwa bash
Huja leta dame
Huja leta tei
Una ongeza jasho kwa bash
Huja leta food
Na unataka room
Una ongeza jasho kwa bash
Chorus x2 

{VERSE THREE}
Leo tunagonga side ya Zimmer,
Maboyz wa Ronga musikuje bila,
Mkuje na madem na mlete mzinga,
Ikiwezekana ish lazima (aaah)
Party ni party bora kuna makali,
We wanna stay happy bila kujali,
Kama Koffi tutapiga selfie,
Tuweke FB na pia IG,
Umefika 18?
Wapi ID,
Hakuna jicho pevu Mohamed Ali,
Madem wameng’ara come late leave early,
Dark skin light skin hatubagui,
Skinny pum pum hatukagui, x2

Also Read :   Wewe Ni Mungu - Daddy Owen featuring Rigan Sarkozi [LYRICS]

[CHORUS]
Jasho kwa bash
Huja leta dame
Huja leta tei
Una ongeza jasho kwa bash
Huja leta food
Na unataka room
Una ongeza jasho kwa bash
Chorus x2 

Jasho kwa bash
Huja leta dame
Huja leta tei
Una ongeza jasho kwa bash
Huja leta food
Na unataka room
Una ongeza jasho kwa bash