A Heart Of Giving – Otile Brown [LYRICS]

0

[Intro]

Mmh eeh, ooh Lord

Yeeiiih

{Verse One}

Hakuna anayependa kusishi katika mazingira ngumu

Na uwezo hatuna wa kuchagua mahali pa kuzaliwa hilo fahamu

Umejaliwa uwezo, ila hatujatofautiana sote binadamu

Mungu ndiye anayepanga

Na mbona tusiinuane wakati sote moja jamii

Tuimarishe maisha ya watu wetu

Tusiache waangamie

Tusiache wapotee

Kwa kidogo ulicho nacho

Kila mtu ajitolee

Wapate kula

Wapate kuaa

Sehemu ya kulala na matatizo yatakoma

Penye mapenzi

Hapapotei x6

[Hook]

Coz a loving heart

Is a beautiful heart

It’s a heart of giving

Heyah, heyah , hey!

 

{Verse Two}

Nyosha mkono unikamate

Nadondoka usiniache

Hata kama chache

Nipe name nipate mkate

Nyosha mkono unikamate

Nadondoka usiniache

Hata kama chache

Nipe name nipate mkate

Nyosha mkono unikamate

Nadondoka usiniache

Hata kama chache

Nipe name nipate mkate )

 

[Hook]

Coz a loving heart

Is a beautiful heart

It’s a heart of giving

Heyah, heyah , hey!

Also Read :   Sababu ni Wewe - Wasojali Band [LYRICS]